NIAMBIE歌詞

添加日期:2023-12-21 時長:03分44秒 歌手:Meja Kunta

作詞 : Khalid Mwarami Mtumbuka
作曲 : Kennedy Joseph Raphael
Niambie *3
Baby oohh Sikia
My dear Nakuambia
Leo narudia
Kukupenda nakupenda
Pia huenda wanipenda
Yani sawa nimekubali
Kwa yote kheri nitasubiri
Oohh Baby Ooh
Natamani kusema nooo
Wataka kunitoa rohooo
Najikaza kikomandoo
Oooh
ooh dada Amina
Dada Amina oooh
Amina we ndo roho yangu
Amina
mengi nayasikia Amina
nashindwa kusema
Amina kila aina ya bwana Aminaa
unanichanganya
Na wengine ndugu zangu
Halafu yule paha wangu
Halafuu ooh dear
nakupenda pia woooh dear
nimekuridhia Aminaaa
Walisema kizuri ndo chenye dosari
leo nakubali
kwako sina hali
nakupenda kweli
Ila niambie
Ooohh niambie
Amina vile umenimiss niambie
Hivi unanipenda kweli niambie
Au sikufikishi safari niambie
Au bado unatafakari Aminaaa
Niambie ooohhh
Aawee midfielder ndemla
Yoo ajibu ajibu na Ibrahimn ajibu
Eyoo keni
Mbwa mwitu OG G
Aweee Hasan dilunga HD D
Awe mwanangu shebelaa chilo
Awe simedo mwaidola chilo man chilo man
Awee cambiaso
Kuna mwanangu chizi kichizi venja chizii
更多>

喜歡【Meja Kunta】您也可能喜歡TA們的歌詞…

更多>

最新歌詞