Mimi Ni Muziki歌詞

添加日期:2023-12-27 時長:06分45秒 歌手:Uhuru Republic

作詞 : Marleen Xplastaz/Heri Muziki/Giulia Passera
作曲 : Filippo Quaglia/Raffaele Rebaudengo/Felician Mussa/Mbwana Mtulia
MIMI NI MUZIKI UPENDO NA AMANI
BINADAMU WOTE NI SAWA, MIMI NI MUZIKI
MIMI NI MUZIKI UPENDO NA AMANI
BINADAMU WOTE NI SAWA, MIMI NI MUZIKI
NJIA YA MATUMAINI, NJIA
ASEMA YALIYO FICHIKA, NJIA YA MATUMAINI
ASEMA YASIYO SIKIKA, MIMI NI MUZIKI
NJIA YA MATUMAINI
ASEMA YASIYO SIKIKA, MIMI NI MUZIKI
MUZIKI NI NJIA AMBAYO TAWEZA
KUELEZA HISIA ZETU
MUZIKI NI NJIA AMBAYO TAWEZA
KUELEZA HISIA ZETU
TWAFIKISHA UJUMBE KUPITIA MUZIKI
UJUMBE ULOWAZI KIMAANA NA KIFIKRA
MUZIKI UNANIPA HISIA
MUZIKI UNANIFANYA NASIKIKA
MUZIKI UNANIPA MAISHA
MUZIKI NI NJIA AMBAYO TAWEZA
KUELEZA HISIA ZETU
更多>

喜歡【Uhuru Republic】您也可能喜歡TA們的歌詞…

更多>

最新歌詞

{"vars": {"token": "3ba46da0d4dc9e0a004a4d354cb5d464"},"triggers": {"trackPageview": {"on": "visible","request": "pageview"}}}