Them Mushrooms - Jambo Bwana (Kenya)歌詞

添加日期:2021-03-02 時長:03分15秒 歌手:Various Artists

Them Mushrooms - Jambo Bwana (Kenya) - Various Artists (歐美群星)
Jambo jambo
Jambo
Jambo bwana
Jambo bwana
Habari gani
Habari gani
Mzuri sana
Jambo jambo bwana
Habari gani mzuri sana
Tuimbe tucheze sote
Kiswahili ni lugha ya africa
Jambo ho
Jambo bwana hey
Habari gani ho
Mzuri sana hey
Tuimbe ho
Tucheze sote hey
Kiswahili ni lugha ya africa
Jambo jambo
Jambo
Jambo bwana
Jambo bwana
Habari gani
Habari gani
Mzuri sana
Jambo jambo bwana
Habari gani mzuri sana
Tuimbe tucheze sote
Kiswahili ni lugha ya africa
Jambo ho
Jambo bwana hey
Habari gani ho
Mzuri sana hey
Tuimbe ho
Tucheze sote hey
Kiswahili ni lugha ya africa
Leo tufurahi hakuna matata
Reggae babu kubwa hakuna matata
Burudani sali hakuna matata
Aah tucheze sote hakuna matata
Kiswahili ndlo lugha yetu ya africa
Upende usipende utapenda kwa hakika
Oh oh oh oh oh oh oh oh
Michael Jackson kaimba kiswahili
Lionel Richie kamfuata ni wa pili
Oh oh oh oh oh oh oh oh
Mukae vivyo hivyi siku zote kwa amani
Maisha africa yatakua na thamani
Oh oh oh oh oh oh oh oh
Tuimbe tucheze tuseme kiswahili
Supu ya uyoga ni tamu kwell kwell
Oh oh oh
Hakuna matata ho hey
Hakuna matata ho hey
Hakuna matata ho hey
Hakuna matata
更多>

喜歡【Various Artists】您也可能喜歡TA們的歌詞…

更多>

最新歌詞